Unasoma sana lakini matokeo yakitoka hutamani rafiki au hata wazazi wako wajue kile ulichopata AU unafanya vizuri darasani na mitihani ya kawaida lakini inapofika muda wa kufanya mitihani ya mwisho kama vile ya wilaya,mkoa na taifa unafeli mpaka unahisi unafanyiwa hila au umelogwa!. Kufeli sio jambo zuri kwa mtu kulipata katika kitu chochote hasa ukiwa shuleni,kwa kutambua hilo haijalishi wewe ni mwanafunzi wa shule ya hadhi gani au unarudia mtihani au wewe ni P.

C huna budi kujua njia hizi rahisi sana za kukusaidia kufaulu mitihani yako. Njia hii ni rahisi sana itakusaidia sana kujua namna ya kujibu maswali,kujua mitego na mbinu za watunga mitihani ambao mara nyingi hurudia maswali yaleyale kwa namna tofauti, vilevile itakusaidia kujua format au miundo ya mitihani na hii itapelekea wewe kujua majibu ya maswali mengi sana ndani ya muda mfupi sana.

Mbinu hii itakusaidia sana kufaulu mitihani. Kujua topic za kila somo unalotarajia kujibu mtihani wake kutakusaidia sana kujua mada zipi huwa na maswali mengi,alama nyingi,mada zenye maswali rahisi na magumu. Hii inakupa mwongozo sahihi sana wa kujua wapi pa kuanzia pindi unavyojiaandaa kujibu mtihani.

Ni hatari sana kuingia kwenye chumba cha mtihani ukiwa hujui maswali yapi ya kuanza kwenye mtihani husika hata kama unajua vitu vingi vya kujibu. Hivyo kujua topic ni njia rahisi sana kuelekea kufaulu mtihani wako. Kusoma sio hekali za shamba unazotakiwa kutumia muda mrefu sana ili umalize kuzilima la hasha!

Ni heri ulale upumzishe akili kuliko kusoma ukiwa hauelewi kitu husika unachokisoma kina faida gani kwako. Ndio maana wapo baadhi ya wanafunzi wanaotumia muda mrefu hufeli wakati wapo watu wanaofaulu licha ya kutoingia darasani wala kusoma muda mrefu. Hii ni kwa sababu wengi wa wanafunzi wanaosoma muda mrefu husoma bila ya kujua lengo la kusoma vitu au mada fulani na kuishia kufeli.

Hivyo kujua unasoma kitu fulani kwa ajiri gani kutakupa uhakika mkubwa wa kufaulu amini. Usielewe vibaya! Mbinu hii ni rahisi sana na muhimu maana ufaulu hutegemea alama za masomo tofauti tofauti na sio somo moja tu. Hivyo jua zaidi kwenye masomo unayoyaelewa yatakulipa kwenye mitihani na kukupa uhakika wa kufaulu. Badala ya kusoma maelezo mengi kama msomaji wa risalaNotes fupi zilizo andaliwa vizuri zitakusaidia kufaulu mtihani kirahisi.

Njia hii itakusaidia kutokuishiwa hamu ya kusoma unapotumia notes fupi,husaidia kuelewa haraka na kwa mujibu wa wataalamu wanadai Notes fupi husaidia sana kumtunzia mwanafunzi kumbumbu nzuri. Kubuni Kanuni ni ujanja wa aina yake asikudanganye mtu. Elewa kwanza hizi sio kanuni rasmi bali ni kanuni ambazo mtu anabuni kwa namna yake akiwa na lengo zimsaidie kutunza kumbukumbu na zimrahisishie anapojibu maswali.

Hivyo ukitulia kwa kila somo lolote unaweza kubuni kanuni hizi ambazo zitakurahisishia sana kujibu maswali na kukupa uhakika wa kufaulu. Hii ni njia rahisi sana inayoweza kukufanya ufaulu mtihani tena ukiwa na uhakika.

Tathimini ndio kipimo sahihi kitakacho kufanya ujue upungufu wako uko wapi na nini ufanye kulingana na muda ambao utakuwa umesalia kabla ya kufanya mtihani. Mitihani ya kujiandaa haitoshi kukwambia uko sawa ila inahitaji wewe ufanye tathimini sahihi ujue unachotakiwa kufanya kabla ya mtihani. Hapa elewa kwanza kwenye suala la discussion kuna watu aina mbili darasani au katika kusoma;wapo watu wanopenda sana discussion lakini lazima tuelewe kuwa kuna watu wengine hawapendi kabisa kusikia kitu kama hicho sio kwamba hawapendi ushirikiano na wenzake bali hujisikia huru sana wakiwa wanasoma peke yao.

Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu wa kundu hili hapa panakuhusu. Raha ya kusoma ni kufaulu hivyo kuna hamu kubwa ya kusoma siku chache kabla ya mtihani. Watu hawalielewi hili ,mtihani wa wilaya,mkoa au taifa siku zote unazingatia kupima wanafunzi wa kila aina,wa shule zenye waalimu,wa shule zenye uhaba wa waalimu na hata wale watihaniwa wa kujitegemea. Hivyo maswali hutolewa kwa kuzingatia mtaala wa taifa na sio wa shule wala kituo cha elimu. Kwa kujua hili sio rahisi kufeli ina maana lazima utajua tu maswali ya muhimu ambayo ni lazima yatoke kwenye mtihani ,maana siku zote mtaala wa elimu ni uleule na hata mabadiliko yakitokea serikali hutangaza.

Kama Ni Rahisi Zuhura Shabani Zanzibar Stars Download Mp3

Hivyo kwa nini usifaulu mtihani wakati unaelewa mada na maswali yake?!. Unawaza kuhusu kumaliza mtihani sio?! Tulia ratiba ikiisha utarudi mtaani, hivyo usiruhusu kufikiria mambo mengine badala ya mtihani muda wa mtihani, japo hutokea kwa baadhi ya watu. Lakini kama hauna tatizo lolote muda wa mtihani sio muda wa kufikiria kuhusu likizo au nini utafanya baada ya mtihani ,muda wa mtihani ni muda wa kuandaa kile kitakacho onekana baada ya mtihani na si vinginevyo.The Kama Sutra Sanskrit:alternative spellings: Kamasutra or simply Kamasutrais an ancient Indian text widely considered to be the standard This app is your guide to the art of love positions.

It is beautiful, interactive, luscious, inspiring and hot Kama is a unique Nightclub located in the heart of Colombo in Sri Lanka. We strive to provide our customers with a unique and unforgettable Through Ayurved Sutra we offer precious intellectual and experiential gems dug out of quality clinical research, academic documentation and Hr hittar ni vr katalog, alla vra terfrsljare och instruktionsfilmer frn flertal tillverkare.

Appen r under utveckling. Related Searches kama sutra images. Sort by. Back Close. Free Only. Editor Rating. User Rating. Entertainment Software Games. Apply Filters. Results for kama sutra. Related: kama sutra images. The Kama Sutra of Vatsayayana. Publisher: Ubiklabs Downloads: Kama Sutra Sex Positions. Publisher: Free Adult Guide Downloads: Publisher: Tuscan Concepts Downloads: Publisher: SwampyFoot Downloads: Publisher: Momaco Pvt Ltd Downloads: 4. Kama Nails.

Publisher: Tobit. Lotus sutra free. Publisher: NavamakanApp Downloads: 1.Post a Comment. Recent posts. Labels kimataifa kitaifa magazeti michezo siasa slider. By Dk Shita Samwel, Mwananchi Swali: Mimi ni binti wa miaka 21 ambaye ninapata siku zangu kila tarehe 15 ya kila mwezi. Nimekuwa nikitumia njia ya kalenda katika kujiepusha na mimba zisizotarajiwa.

Lakini sina uzoefu na njia ya kalenda na baadhi ya wenzangu nimeona wakiitumia lakini wakaishia kubeba mimba, naomba ufahamu juu ya siku za hatari ni zipi kubeba ujauzito?

Jibu: Asante kwa swali hilo kwani mojawapo ya swali ninaloulizwa mara kwa mara na wasomaji wengi. Wapo niliowasiliana nao na kuonyesha kutofahamu vizuri ni siku zipi ambazo ni za hatari au kwa namna nyingi zile siku ambazo ni zakuweza kupata ujauzito. Njia ya kalenda ni moja ya njia ambazo wenye kushikilia mila na desturi na imani za kidini hupendelea kuitumia njia hii ya asili ili kufanya uzazi wa mpango.

Njia ya kalenda ni njia inayohitaji nidhamu kwa wenza wawili na pia inahitaji kujifunza na kuizoea angalau kuifanyia mazoezi kwa muda wa miezi vinginevyo njia za vidonge, vipandikizi na sindano ndio zinafanikiwa kukukinga usipate ujauzito.

Wapo waliokuwa wanadhani ujauzito unaweza kupata siku inayofuata baada damu ya hedhi kukata, mwingine alikuwa akijua kuwa kuifahamu siku ya hatari ambayo yai limekomaa tayari zinahesabiwa kutoka mara ya mwisho damu ya hedhi kuisha. Kawaida wanawake walio wengi duniani kwa mujibu wa machapisho mbalimbali ya kitafiti ya kisayansi mzunguko wa hedhi wa kawaida ni siku karibu asilimia Ingawa wapo wachache ambao wana mzunguko mfupi wa siku 21 na wapo wenye mzunguko wa mrefu wa hedhi wa siku Mwanamke hupata hedhi kipindi ambacho kama mimba haikutungwa ngozi nyororo iliyomo katika mfuko wa uzazi hunyofoka na kutolewa nje kama damu ya hedhi.

Katika mzunguko wa hedhi kipo kipindi maalumu ambacho kiyai cha kike huwa tayari kimekomaa na endapo kitakutana na mbegu ya kiume mimba huweza kutungwa.

NJIA RAHISI YA KUSOMA NA KUFAULU MITIHANI YA TAIFA

Kipindi hiki huwa ni siku ya 14 kwa wanawake walio wengi ambao mzunguko wao ni siku 28, huhesabiwa tangu siku ya kwanza lilipotoka tone la damu ya hedhi na sio siku ya mwisho hedhi ilipokata. Ili kuweza kujua siku za mimba kutungwa inakubidi kuhesabu siku ya kwanza kupata hedhi mpaka siku ya 14 kwa wale wanawake wenye mzunguko siku Kwa kawaida wanawake wote hata kama wana mizunguko ya hedhi ina urefu wa siku isiyo sawa zile siku za matayarisho yai kutengenezwa huwa ni sawa ambazo huwa ni siku Ili kuweza kujua siku yako ya kuweza kupata ujauzito unachukua siku 14 unatoa kwa siku za mzunguko wako.

Kwa mfano, kama wewe uliyeuliza swali mzunguko wako ni siku 30 unatoa kwa 14, hivyo unapata Hivyo yai lako linakuwa limekomaa na kuweza kurutubishwa na mbegu ya kiume katika siku ya Nitoe mfano mwingine; tuchukulie una mzunguko wa mfupi ambao ni siku 21 ili kujua siku yako hasa ya yai kuwa limekomaa unatoa siku 14 hivyo unapata 7. Mtu mwenye mzunguko wa siku 21 yai lake linakuwa limekomaa siku ya 7. Kwa wenye mzunguko wa siku 28 ambao ndiyo wengi unachukua 14 unatoa 28 unapata siku Ndiyo maana inazungumzwa kuwa siku ya 14 ndiyo siku ya hatari kwa wanawake wengi ndio maana wanaiepuka bila kujua pia mwenye mzunguko wa siku 28 pia ana nafasi ya kupata katika siku ya 11, 12, 13, 15, 16, 17 na Kama wewe ni mtaalamu wa muziki basi inaweza kuwa hii sio makala sahihi kwako kwani ukweli ni kwamba binafsi sina ujuzi wa muziki hivyo inawezekana kuwa njia hizi zikawa sio bora kama njia ambayo unaijua wewe.

kama ni rahisi audio download

Lakini kwa wenzangu na mimi ambao hatujui mambo ya sound engineer basi pengine makala hii inaweza kuwa msaada kwako. Kupitia makala hii nitaenda kukuonyesha njia rahisi ambazo unaweza kutumia kuondoa maneno kwenye nyimbo yoyote na kubakia na beat pekee, njia hizi ni rahisi sana kutumia na kwa baadhi ya njia huna haja ya kuwa na programu yoyote ili kuweza kufanikisha hili, unahitaji internet pamoja na uwezo wa ku-upload nyimbo mtandaoni pamoja na kuipakuwa baada ya kufanikiwa kuondoa maneno kwenye nyimbo husika.

Basi bila kupoteza muda twende tuka angalie njia hizi. X-minus pro ni tovuti ambayo inaweza kukusaidia kuweza kuondoa maneno kwenye nyimbo yoyote kwa haraka zaidi, tovuti hii ni rahisi kutumia na kwa maoni yangu inaweza kutoa maneno kwenye beat kwa kiwango kikubwa sana, unaweza kusikia mfano hapo chini.

Unaweza kutembelea tovuti hiyo na kujaribu kutoa maneno kwenye nyimbo yoyote, unachotakiwa kufanya ni kubofya kutufe cha select File kisha upload nyimbo na baada ya kapo anza kusikiliza nyimbo hiyo kama maneno yameondolewa vizuri, kama bado unaweza kucheza na sehemu ya chini ambapo unaweza kurekebisha jinsi nyimbo inavyo sikika. Tembelea X-minus Pro Hapa. Audio alter ni tovuti nyingine ambayo inakusaidia sana kuweza kuondoa maneno kwenye nyimbo yoyote, tofauti na tovuti iliyopita tovuti hii ni rahisi zaidi kutumia kwani huna haja ya kufanya chochote zaidi ya ku-upload nyimbo kisha ikimaliza una download tena ikiwa imeondolewa maneno.

Tovuti hii nayo pia inajitahidi kuweza kuondoa maneno kwenye nyimbo unaweza kusikia mfano hapo chini. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hiyo na kubofya kitufe cha browse na kisha chagua nyimbo unayotaka kisha bofya submit baada ya hapo nyimbo ita upload na ikimaliza hapo hapo utaruhusiwa kupakua nyimbo ambayo tayari imetolewa maneno.

Tembelea Audioalter Hapa. Tovuti ya mwisho kwenye list hii inaitwa Vocal removal, tovuti hii haina tofauti na tovuti nyingine kwenye list hii lakini yenyewe hii kama ilivyo tovuti ya kwanza inakupa uwezo wa kubadilisha jinsi nyimbo inavyo sikika kwa kutumia sehemu za kuedit zilizopo kwa chini ya nyimbo baada ya ku-upload.

Unaweza kusikiliza mfano wa nyimbo iliyo ondolewa maneno kwa kutumia tovuti hii.

kama ni rahisi audio download

Kutumia tovuti hii ni rahisa sana tembelea tovuti hiyo kisha bofya Browse my files kisha endelea kwa kuchagua nyimbo unayoitaka kisha endelea kwa kusikiliza nyimbo kama umependa jinsi inavyo imba basi bofya kitufe cha Save kupakua nyimbo iliyo ondolewa maneno.

Tembelea Tovuti ya Vocal Removal Hapa. Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanamiliki kompyuta basi njia hii inaweza kuwa njia bora zaidi kati ya njia zote hizi, unachotakiwa kufanya ni kutembelea kupakua programu ya Adobe audition, kama huna programu hiyo basi unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kupata programu hiyo bure kabisa bila kulipia kwa kompyuta za Windows. Unaweza kusikia mfano hapo chini.

Na hizo ndio njia ambazo unaweza kutumia kuondoa maneno kwenye nyimbo yoyote kwa haraka zaidi. Kama kuna mahali umekwama usisite kutuandikia kwenye sehemu ya maoni hapa chini. Kwa maujanja zaidi kama haya hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku pia usisahau kujiunga nasi kupitia channel yetu ya YouTube hapa kwani huwa tunajifunza zaidi kwa vitendo.

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii. Search for: Search. Toa Maoni Hapa Ghairi kujibu.

Close Search for: Search.Na YouTube kuwa maarufu zaidi na zaidi, si ajabu kwamba video nyingi za muziki ni rasmi iliyotolewa kwenye YouTube. Kwa ufupi, YouTube ni mahali pazuri kwa ajili ya kutafuta muziki yaani wale hivi karibuni au na Ghanahasa wakati unaweza kwa urahisi kuunda orodha ya nyimbo ya YouTube.

Hata hivyo, huenda vikwazo kwa starehe mtandaoni tu. Usiwe na wasiwasi, makala hii itakuongoza jinsi ya kubadilisha orodha ya YouTube kwa faili za MP3 nyimbo na orodha ya ilipendekeza wa programu-YouTube nyimbo mbili kwa MP3 converter na YouTube orodha ya nyimbo kwenye MP3 kinasa. Download Video kutoka tovuti mbalimbali Inakuwezesha download video kutoka tovuti mbalimbali ikiwa ni pamoja na YouTube.

Zaidi ya hayo, unaweza kushusha YouTube orodha ya nyimbo, njia na bofya tu. Njia mbalimbali za kupakua Kuna njia mbili rahisi za kupakua video za YouTube. Mojawapo ni kupitia kitufe cha Pakua na nyingine ni kupitia kunakili na kubandika url ya video. Geuza video kwa format nyingi Kutumia programu hii kugeuza video kwa format nyingine nyingi ni rahisi kama duara.

Mchezaji wa video na muziki Wewe moja kwa moja kucheza video kupakuliwa na waongofu na audios katika maktaba. Kwenda YouTube kupata orodha za nyimbo unazotaka. Bofya orodha ya nyimbo ili kucheza na kitufe cha Pakua itaonekana kwenye haki. Bofya kitufe cha na Teua orodha ya nyimbo katika Menyu ya kunjuzi.

Au unaweza kunakili url ya orodha ya nyimbo na bofya kitufe cha Bandika URL. Ndipo programu kuanza anaylize orodha ya nyimbo na kupata video zote kupakuliwa tofauti.

Kubadilisha orodha ya nyimbo ya YouTube kwa muundo wa MP3, tu kwenda Finished maktaba, bofya sambamba Geuza vitufe video zote zilizopakuliwa kutoka orodha ya nyimbo ya YouTube na kisha mtiririko huo Chagua MP3 kama umbizo yako towe.

Nikumbushe (Cover song) - Nandy

Moja kwa moja rekodi YouTube orodha ya nyimbo za faili za MP3 na ubora mzuri wa Rekodi sauti kutoka maeneo Mbali na YouTube, programu hii inasaidia kurekodi kutoka maeneo mengi zaidi kama vile Spotify, Pandora na zaidi.

Kutambua taarifa ya wimbo Kufufua taarifa ya wimbo ni kufanyika kiotomatiki kwa programu na unaweza hata kuhariri taarifa kama wewe kama. Ni kumbukumbu ya sauti moja kwa moja kutoka kwa kompyuta ili kuhakikisha kuna hasara hakuna ubora. Unda midundo Baada ya muziki ni kumbukumbu, unaweza kufanya midundo na nyimbo na kutuma kwa simu yako. Bofya kitufe cha kumbukumbu juu kushoto na kwenda kucheza orodha chezeshi yako YouTube.

Wakati kuna sauti toka kwenye tarakilishi yako, hivyo itakuwa kumbukumbu ni chini. Zaidi ya hayo, wewe unaweza kuweka kucheza orodha ya nyimbo na programu atawatenganisha katika faili tofauti wa sauti. Baada ya muziki YouTube ilivyoandikwa, unaweza kupata yao katika maktaba. Teua muziki na bofya kitufe cha Ongeza ili iTunes. Maswali yanayohusiana na bidhaa? Kuhusu Wondershare [ Mada zote Kituo cha upakuaji.Account Options Sign in.

Top charts.

kama ni rahisi audio download

New releases. Add to Wishlist. Translate the description back to Swahili Translate. Kurani ya Sauti katika Kiswahili ni programu ya bure ya Korani ya vifaa vya Android.

Pakua na Geuza YouTube orodha za nyimbo kwenye MP3

Kurani ya Sauti ndio programu bora kwa kila mtu anayependa kusikiliza maneno ya Mwenyezi Mungu kutoka kwa Kurani Tukufu. Wakati mwingine sio rahisi sana kusoma Al Quran, kwa mfano unaposafiri na kuendesha, kufanya kazi nje, kuweka chini au nk Sasa sikiliza Kurani ya Sauti bila unganisho la mtandao.

Fungua tu Quran na bonyeza kwa surah yoyote ya Quran. Faili ya Mp3 itachezwa na unaweza kusikiliza Korani Takatifu kwa muda mrefu. Futa maandishi na sauti Rahisi kuelewa Urambazaji rahisi Kazi ya kichezaji cha nyuma: kusikiliza wakati skrini imezimwa. Mabadiliko ya saizi ya fonti kwa mwonekano wa mtumiaji.

Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad. Kurani ya Sauti katika Kiswahili itakupa Quran tukufu nzima katika lugha ya Kiarabu na tafsiri.

Kurani ya Sauti imeundwa kwa Waislamu na watu ambao wanapendezwa kusoma na kuelewa Quran Tukufu. Tujue ikiwa unayo toleo yoyote.

Tuko tayari kusikia maoni yako ili kufanya Kurani ya Sauti katika Kiswahili iwe programu bora ya Kurani ya Android. Voice Quran in Swahili is a free Koran app for Android devices. Voice Quran is the best app for everyone who wants to listen to the words of Allah from the Holy Qur'an.

Sometimes it's not so easy to read Al Quran, for example when traveling and driving, working out, laying down or etc. Now listen to the Qur'an without an internet connection.

Just open the Quran and click on any chapter of the Quran. The Mp3 file will be played and you can listen to the Holy Koran for a long time.

Delete text and audio Easy to understand Easy navigation Background player function: to listen when the screen is off. Changes font size to user appearance. The Voice Quran is designed for Muslims and people who are interested in reading and understanding the Holy Quran. Let us know if you have any version. We're ready to hear your comments to make the Kurdish Voice in Swahili the best Kuran app for Android.

Reviews Review Policy. This update brings small improvements and bug fixes. Thank you for your positive feedback and reviews.The Facts,Truth and Amazing. Featured Featured Posts. Social Icons This technologyzaleo blogsite is all about scientist,innovators,computer maintanance and networking and any related technology. For more knowledge you may visit this site to get any new version of technologies together with lessons for how you can handle your matters.

Get Free Email Updates to your Inbox!

kama ni rahisi audio download

Post a Comment. Ns-3 is one of the most popular simulation tools for network simulation. It is the successor to Computer ina uwezo wa kufanya mambo ambayo binadamu hatokuja kuweza kuyafanya kirahisi. Lakini, haiwezi kufanya kitu bila kupewa amri Ful Internet ni mtandao muhimu katika maisha yetu sasa. Unaweza kufanya biashara, kuangalia matokeo, filamu, muziki na mambo mengi kutaja Dear viewers, I will show you how to make send a friend request on Facebook in Facebook is a place where you can not send or Simu za Android kwa sasa zimekuwa na watumiaji wengi na inawezekana ndio zinaongoza kwa kuwavutia wezi.

Lakini bila kujali kuwa simu ya Follow by Email. Social Icons. Pages Home. Featured Posts.


Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *